Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la mpira wetu...ni siasa...viongozi wengi.wanakua wanasiasa...sasa ni wakati wa wanamichezo kushika hatamu...ally mayai...namfahamu ni mwadilifu na ni mchapakazi...anamapenz na yanga africa...lakn..kwenye ukweli atasimamia namwamini....anaweza kutuvusha.....tumpe ajaribu maana ndio damu changa pale...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekua kocha mkuu wa Taifa Stars mbarazili Maxio Maximo amesema kwamba Frederick Mwakalebela ndio mgombea pekee anayefaa kuchaguliwa kuongoza TFF.
Maximo amesema kwamba MWAKALEBELA alifanya kazi kama Katibu mkuu enzi za Rais Leodgar Chilla Tenga na kila mtu aliona jinsi soka la Tanzania lilivyopiga hatua kipindi kile.
Maximo akaongeza kwamba Mwakalebela atatumia mbinu na mikakati ileile aliyoitumia wakati wa Tenga ili kuendeleza mpira wa miguu Tanzania.
Akamaliza kusema Mwakalebela ni mtu anayeamini katika soka la Vijana, soka la wanawake na uadilifu katika utawala.
Sent using Jamii Forums mobile app