Maya apigwa maombi, azuiwa mitungi

Maya apigwa maombi, azuiwa mitungi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya' amezuiwa kunywa pombe baada ya kuangushiwa maombi mazito na kushauriwa kubadilika kitabia.

Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, juzikati Maya alifika katika kanisa moja lililopo Mbezi jijini Dar na kuombewa kisha mchungaji wa kanisa hilo akamzuia kunywa pombe.

"Kazuiwa lakini najua kwake itakuwa mtihani, sidhani kama ataacha kweli," kilisema chanzo hicho.

Alipotafutwa Maya, alikiri kuombewa lakini alipotajiwa suala la kuzuiwa pombe na kama ataweza kweli kuacha, alikata simu ghafla.

CHANZO: GLOBAL PUBLISHERS
 
So hapa tujadili nini?
Sio kila kinachoandikwa bamaga kinastahili kuletwa humu Jf
 
Hivi jamani bongo star search ni lini jamanii nimemiss kucheka ule mchujo wa kwanza kuna watu hua wanaimba wananiua mbavu zangu au ishapita nimesahauuu!!!!!!
 
Hivi jamani bongo star search ni lini jamanii nimemiss kucheka ule mchujo wa kwanza kuna watu hua wanaimba wananiua mbavu zangu au ishapita nimesahauuu!!!!!!

mwaka jana haikua na ushabiki sana
bado haijaanza
 
Back
Top Bottom