Mayahudi kuwauzia Farao gesi yenye thamani ya Trilioni 90

Mayahudi kuwauzia Farao gesi yenye thamani ya Trilioni 90

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa.

Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia ambapo Yerusalem itaiuzia Kairo gesi yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 35.

Kwa mkataba huu Misri atabarikiwa kwa kuwa imeandikwa ukiwabariki Israel unatoboa.

====================================

Israel approves a significant $35 billion natural gas export deal with Egypt to expand bilateral energy cooperation.

The agreement, spanning 15 years, involves exporting 130 billion cubic meters of gas from Israel's Leviathan field.

Infrastructure plans, including a cross-border pipeline, are underway to facilitate the project's goals and regional connectivity.

Political and security concerns delayed the deal, alongside broader geopolitical tensions involving Egypt and Israel.

Source: Business Insider SA
 
Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa.

Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia ambapo Yerusalem itaiuzia Kairo gesi yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 35.

Kwa mkataba huu Misri atabarikiwa kwa kuwa imeandikwa ukiwabariki Israel unatoboa.


View: https://www.instagram.com/p/DSI8m--iO98/?img_index=3&igsh=MWI2aG52aHF0NHlmNw==

Ngoja waarabu wa mchambawima waje kwanza wajibu
Ndo nitaamini mayahudi wameshirikiana nao 😂
 
Tunagombanaga huku kiembefish kule juu waliotuletea dini wanajielewa
 
Back
Top Bottom