Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani,
Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina.
Sasa chuki za kijinga na kishetani ni za nini ?,