CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Habari zenu binafsi wana JF Doctor..
Awali ya yote napenda kuwapongeza na kuwashukuru wale wote wanaotoa ushauri wa kitaalamu bila malipo Mwenyezi Mungu awabariki.
Kuna tetesi kwamba mayai ya mwanamke huwa yanacheza cheza tumboni hasa wakati ambapo mama amechelewa kupata mtoto. "Long interval" kati ya uzazi mmoja na mwingine. (sijui ndo huitwa nzao moja baada ya nyingine... mnaweza kunisahihisha).
Wataalamu wa afya je ni kweli??
- Kama ni kweli ni nini husababisha hiyo. hali??
- Kama si kweli ni nino huwa kinacheza maeneo ya kinena????
Wapi Dr. Riwa, Dr. my mum measkron, Dr. MziziMkavu naomba busara zenyu.......
Wabheja saaaaana!!!!!!!!
Humbled.....
CL

Last edited by a moderator: