CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
- Thread starter
- #21
Fibroids kiasi cha kusikia inacheza angeshapata na dalili nyingine pia, labda kama ni 'Pedunculated Myoma' inakuwa na kama stalk hivi imeshikilia hiyo Fibroid inayocheza..all in all, its a strange phenomenon. lakini binadamu tuna namna tofauti ya kueleza jinsi unapojisikia, inaweza hicho unachosema kinacheza, ni different feeling kabisa na kitu kinachocheza.
Duh... Dr. Riwa kiukweli mie sihisi maumivu ya aina yoyote isipokuwa kama nilivyoeleza hapo juu "locally". Dalili za Fibroids ni zipi?????
Last edited by a moderator: