Mayai kucheza tumboni kwa mwanamke


Duh... Dr. Riwa kiukweli mie sihisi maumivu ya aina yoyote isipokuwa kama nilivyoeleza hapo juu "locally". Dalili za Fibroids ni zipi?????
 
Last edited by a moderator:
wanaokutaka huwapendi....ujue mi sitaki kuolewa tu ilimradi...ningeshaolewa ...yaani dah very complicated...hvi unaweza kumpenda mtu kwenye ndoa...sitaki kuja kujuta aisee
 
 
wanaokutaka huwapendi....ujue mi sitaki kuolewa tu ilimradi...ningeshaolewa ...yaani dah very complicated...hvi unaweza kumpenda mtu kwenye ndoa...sitaki kuja kujuta aisee
.....exclude other factors ..ila kweli kama mtu humpeni alafu yeye anakupenda kutegemea kuja kumpenda kwenye ndoa inaweza kuwa ngumu sana...na ni hatari ndoa ikaja kuwa complicated(ya mateso)....na hii issue ya kuwa na social cycle kwenye maisha ya watu ambao moyo hauwakubali inasumbua sana lakini smile wakati mwingine unalegeza vigezo kidogo ....ili mradi isiwe nje sana ya mstari..
 

Mkuu Riwa umenena vyema natumaini muuliza swali charminglady ameelewa
 
Last edited by a moderator:
sio rahisi ivo kaka tumuachie tu mungu
 
Dr. Riwa huwa nasikia kuweka interval kubwa kama miaka 10 ya mimba huwa inasababisha nyonga kuuma nimepata experience kwa watu watatu m6ja jirani yangu na dada yangu na mwingine tulikutana labour yani hadi unamwonea huruma anavyohangaika kaambiwa nyonga zimebana alipitisha miaka kumi na moja
 
Last edited by a moderator:

Mh... naogopa uwiiiiiii, basi.ngoja nisizae tena!
 
Last edited by a moderator:
yanacheza rege, gwaride, rede, kombolela, bamping..vitu vinavyocheza havijagandamana ipasavyo..sielewiiii etyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…