Mayai na kuku wa kisasa

Mayai na kuku wa kisasa

JimCarrey

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
214
Reaction score
124
Jamani waungwana naomba kuuliza je, mayai ya kisasa naweza mpa kuku wa kienyeji alalie nipate vifaranga...??? Au mpaka kutotolesha kwa mashine...??? Au haiwezekani kabisa...???? Na kama haiwezekani naomba nijue kuku wa mayai na wanyama wanatokea kwa mayai gain...???
 
Mkuu hii mada ungeiweka jukwaa la hoja mchanganyiko, sasa huku kwenye mapenzi na kuku wa mayai unakua unavuruga mambo mheshimiwa. Ila subiri utapata msaada
 
Huwezi pata kitu,kifaranga anapatikana kutoka yai lililorutubishwa tu
 
Ndo nahitaji msaada hapo.. Hayo mayai ni yapi...? Ukiacha haya ya kawaida tuliozoea ya kienyeji...???
hata kuku wa kienyeji anaweza taga bila jogoo ila yai lake haliwezi kuwa na kifaranga ndani hata alalie miezi,kwa logic hiyo pia kuku wa mayai ikiwa walichanganywa Na jogoo kwa uwiano unaotakiwa,yai likitotoleshwa litakuwa na kifaranga
 
Back
Top Bottom