Mayai ni chaguo zuri, ila mwachezi Malinzi amalizie aliyoyaanza

Kuifanya TFF kuwa hovyo kabisa.
 
Ili aendelee kujaza Wahaya Tff? Aende zake bhana!
 
Rais pekee dunian ambaye n mwenyekit wa chama cha soka mkoan kwake
 
Malinzi aliivuruga sana Yanga wakati wa utawala wake baadhi tukajua labda kwa fitna za wanachama pale jangwani ndomana alishindwa kutimiza majukumu yake nikadhani labda TFF kwenye ofisi ambayo kama ni muwajibikaji mzuri inakufanya uwe very independent na innovative lakini maajabu ndio kaja kuvuruga vuruga,katengeneza usimba na uyanga mpaka kwenye kamati za utendaji soccer haliendi tena ni majungu asubuhi mpaka jioni kashindwa kuficha kabisa kutembea kwenye njia safi aliyoachiwa na Mh.Tenga japo kulikuwa na mapungufu kadhaa,yaani huyu nae kaingia kwenye mkumbo wa wanakanda ya ziwa kutoaminika tena katika kupewa nyadhifa za juu..Nikweli apishe vijana walio na ari na mawazo mapya
 
Wabongo ni mabingwa wa majungu ,TFF gani hiyo iliyovurugwa au wewe upo zama za FAT ya wakina Ndolanga na Rage?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kama tatizo ni sura mpya mpigie debe mkeo akakae pale.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Umeona kuna sura mbaya hapo au kusoma tatzo... umehakikiwa cheti kweli wewe jibu kistarabu povu la nini? Tunaitaji sura mpya sio walewale bro so soma uelewe povu sio issue halitakusaidia... mke wangu kaingiaje hapo kuwa mstarabu
 
Mayai mi sina tatizo nae,anaweza kukupeleka sehemu kama taifa kisoka tatizo langu kwake ni hao marafiki zake eti Julio[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Umeona kuna sura mbaya hapo au kusoma tatzo... umehakikiwa cheti kweli wewe jibu kistarabu povu la nini? Tunaitaji sura mpya sio walewale bro so soma uelewe povu sio issue halitakusaidia... mke wangu kaingiaje hapo kuwa mstarabu
Tuliza ball kijana,kama sura za wakina Malinzi hazifai tumuweke mkeo ili TFF ipendeze.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…