Nina mashine ya kutotoresha mayai...sasa nimezalisha vifaranga vya kuku now nahitaji nizalishe vifaranga vya kanga, si unajua tena huku kijijini biashara zetu mifugo jamani tofauti na ninyi wa mjini ndugu zetu. Hata kama naweza kuyapata kwa huyo mganga ntashukuru pia.