Mayai ya kanga

Mayai ya kanga

Africa_Spring

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
426
Reaction score
111
Naomba kujuzwa wapi naweza kupata mayai ya kanga kwa bei yoyote ile.
Natanguliza shukurani
 
Kama uliombwa na mganga wa kienyeji
yeye huyo huyo anakua na biashara hio
 
Kama uliombwa na mganga wa kienyeji
yeye huyo huyo anakua na biashara hio

Nina mashine ya kutotoresha mayai...sasa nimezalisha vifaranga vya kuku now nahitaji nizalishe vifaranga vya kanga, si unajua tena huku kijijini biashara zetu mifugo jamani tofauti na ninyi wa mjini ndugu zetu. Hata kama naweza kuyapata kwa huyo mganga ntashukuru pia.
 
Back
Top Bottom