Mayai ya kienyeji yanaitajika kwa bei ya jumla.

Mayai ya kienyeji yanaitajika kwa bei ya jumla.

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu,ninaitaji mayai ya kienyeji kwani nataka kufanya kazi ya kuuza mayai hayo jumla na rejareja.
Makazi yangu ni dar es salaam,kwa alie maeneo ya karibu anaweza nisaidia upatikanaji wake au kama ni mhusika kabisa naomba anipm tuweze wasiliana.

Asanteni na karibuni kwa ushirikiano wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom