Mambo Jambo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 1,100 Reaction score 82 Jul 22, 2015 #1 Mayai ya kisasa kwa bei ya jumla yanahitajika, bei isizidi tsh 5,500/= kwa trei na yawe makubwa. Mteja yuko Dar es Salaam na anahitaji trei 50 kila week Ongea na mteja kwa number hii 0654 163 784 Haya wafugaji kazi kwenu
Mayai ya kisasa kwa bei ya jumla yanahitajika, bei isizidi tsh 5,500/= kwa trei na yawe makubwa. Mteja yuko Dar es Salaam na anahitaji trei 50 kila week Ongea na mteja kwa number hii 0654 163 784 Haya wafugaji kazi kwenu
Danpol JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 5,727 Reaction score 8,918 Jul 22, 2015 #2 Na mm nitegee hapa , nahitaji trey 100 kwa wiki
Mambo Jambo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 1,100 Reaction score 82 Jul 23, 2015 Thread starter #3 Danpol said: Na mm nitegee hapa , nahitaji trey 100 kwa wiki Click to expand... Ngoja wafugaji waje lakini mara nyingi msimu June/July huwa na short supply ya mayai, soon yatakuwa mengi sana mtaani
Danpol said: Na mm nitegee hapa , nahitaji trey 100 kwa wiki Click to expand... Ngoja wafugaji waje lakini mara nyingi msimu June/July huwa na short supply ya mayai, soon yatakuwa mengi sana mtaani
Danpol JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 5,727 Reaction score 8,918 Jul 23, 2015 #4 Mambo Jambo said: Ngoja wafugaji waje lakini mara nyingi msimu June/July huwa na short supply ya mayai, soon yatakuwa mengi sana mtaani Click to expand... Mbaya zaid bei imepaa hakuna mfano , hua yanaenda wapi?
Mambo Jambo said: Ngoja wafugaji waje lakini mara nyingi msimu June/July huwa na short supply ya mayai, soon yatakuwa mengi sana mtaani Click to expand... Mbaya zaid bei imepaa hakuna mfano , hua yanaenda wapi?