Mayai ya Kisasa yanahitajika

Mayai ya Kisasa yanahitajika

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Posts
1,100
Reaction score
82
Mayai ya kisasa kwa bei ya jumla yanahitajika, bei isizidi tsh 5,500/= kwa trei na yawe makubwa.

Mteja yuko Dar es Salaam na anahitaji trei 50 kila week

Ongea na mteja kwa number hii 0654 163 784

Haya wafugaji kazi kwenu
 
Na mm nitegee hapa , nahitaji trey 100 kwa wiki
 
Na mm nitegee hapa , nahitaji trey 100 kwa wiki

Ngoja wafugaji waje lakini mara nyingi msimu June/July huwa na short supply ya mayai, soon yatakuwa mengi sana mtaani
 
Back
Top Bottom