Mayai ya kwale(Quails ) na ufugaji

Mayai ya kwale(Quails ) na ufugaji

amazingone

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
25
Reaction score
12
Nimechukua fursa ya kufuga Kwale(quails),ndege Wa kipekee,adimu, na mwenye faida kibao kwa binadamu.Kwa miaka mingi amekuwa maarufu barani Asia,Ulaya,na jirani zetu wa Kenya katika kufugwa na ulaji wake.
kwa sasa kwale zangu wameshaanza kutaga hivyo nakaribisha wote wanaotaka kujifunza ufugaji wake au kutaka kununua Mayai yake.

images[1].jpgimagesCA305MVP.quails.jpg
imagesCAHJKZS1.jpg

Faida ya mayai:
#improving brain IQ
#kuinua kinga ya mwili zidi ya magonjwa kama cancer, TB,kisukari,blood pressure,asthma ,anaemia nk

Kwa sasa trei inauzwa 20,000/=
Karibu sana nipo hapa DSM.
Tuwasiliane kupitia
0767 851 492
 
mkuu mimi nahitaji vifaranga vinne
 
Kwa sasa nauza Mayai tu kwa Kuwa breeding stock niliyonayo CIO kubwa sana BT unaweza kununua Mayai ukatotolesha
 
nataka tray 5 lakini nipo simiyu sijui ntapataje
 
Niko kwenye mchakato kuchukua kibali wizarani..unajua ufuatiliaji Wa Tz tofauti na wenzetu..unajua hata kufuga kanga nchi za wenzetu unahitaji kibali name tena seriali Zao wanafuatilia kuhakikisha unacho..lakini Tanzania she ria inasema MTU awenacho kibali lakini bado tunaishi kijamaa kila kona watu wanauza kanga huku mitaani bila kusumbuliwa hivyo tuitumie hii Neema tuliyonayo vizuri..mwenzako nimethubutu nasonga mbele
 
Asante kwa taarifa, nitakutafuta katika siku za karibuni nijifunze kwako. Pia ninatafuta wanyama wa kufuga waitwao Ndezi (Thryonomys swinderianus). Mwenye taarifa ya wapi wapi wanafugwa tayari hapa Tanzania ninamuomba atuletee taarifa hapa JF. Asnte sana.
 
Nimechukua fursa ya kufuga Kwale(quails),ndege Wa kipekee,adimu, na mwenye faida kibao kwa binadamu.Kwa miaka mingi amekuwa maarufu barani Asia,Ulaya,na jirani zetu wa Kenya katika kufugwa na ulaji wake.
kwa sasa kwale zangu wameshaanza kutaga hivyo nakaribisha wote wanaotaka kujifunza ufugaji wake au kutaka kununua Mayai yake.

Faida ya mayai:
#improving brain IQ
#kuinua kinga ya mwili zidi ya magonjwa kama cancer, TB,kisukari,blood pressure,asthma ,anaemia nk

Kwa sasa trei inauzwa 20,000/=
Karibu sana nipo hapa DSM.
Tuwasiliane kupitia
0767 851 492

tatzooo sio nikua nao wengi soko lisumbue
 
Uleaji wa vifaranga vya kwale ukoje kabla cjapanga kuwafuga kama nimetotolesha mayai.nao wanataka kuwafungia taa au...?
 
Matunzo ya Kwale hayatofautiani sana na Kuku
..pia MTU akifika wenye shamba langu anapata darasa La kutosha jinsi ya kuwatunza
 
Kwaiyo nikitotolesha kazi inakua ile ile kuwakea taa na kuwapa uangalizi wa hali ya Juu...?
 
Yah..kwakuwa vifaranga Wa ndege aina zote wanahitaji care nzuri..kwa hiyo lazima ufanye hi yo rafiki
 
Hongera sana mdau kwa kujilipua tz mbona tambalale tuuu hakuna bugza kaka nitakupigia mi nataka mayai hayooo kaka
 
Back
Top Bottom