Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
weka namba ya sim tafadhal.
Watu kama nyie mnamaudhi kweli na ndio nyie mkifeli mtihani au maisha mnatafta wachawi!
Unakimbilia wapi mkuu kwanini usisome uzi wote na kuelewa kisha ukachangia?
JF ni shule tosha na darasa linalohitaji utulivu na usikivu wa hali ya juu kuliko huko ulipofundishwa kusoma na kuandika. Nakusihi ujifunze vizuri na uzingatie kwa manufaa yako.