Kwakuwa wadau wengi Wa hapa JF nimekuwa nikiwauzia mayai kwa wingi ambapo imefikia point sasa demand ni kubwa kuliko supply, n still kuna wengine wanahitaji vifaranga,nimeamua kuagiza incubator kubwa zaidi ili nikidhi mahitaji ya soko..hivyo wale Wa vifaranga vya Kwale tuwe na subira kidogo