Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kubota, ni kweli kwa Kenya ufugaji wa Kware ni mkubwa sana na kuna wafugaji wana move kutoka kwenye kufuga kuku na kwenda kufuga Kware, na si Kware tu Kenya Mbuni wanafugwa sana na Mayaiyake has eggs shell ni ghari sana.
Kwa kenya KWF- Keny wildlife Service wana kitengo kabisa cha kuwasaidia watu kufuga hawa Kware na kutoa usidizi pale inapo hitajika,
Mkuu kwa Tanzania kupata Kibali cha kuwafuga ni sawa na kutafuta kibali cha kumilki Duka la kuuza Bunduki, kunamlolongo wa Kufa mtu, na Tatizo kubwa kabisa kuliko lote ni kwamba Wizara ya Mali Asili wameweka katika kundi moja wabongo na wazugu, katika kutafuta kibali, procedure ni the same kwa wageni na Wazawa n ukiangalia automatically wageni wataweza,
Ila Mkuu Kuna jamaa angu yuko Lindi ndo alitoa wazo jipya la jinsi ya kupata kibali na ndo tunafanyia kazi na kuna Docoment wanahitaji kutoka Kenya ndo tunazisubili zije and then tuendelee, hivyo ikifanikiwa nitawaalifu