Mayai ya Kwale



Mkuu naomba feedback.
 
Mwenye mchoro wa banda la kwale naomba aweke hapa.
 
Mimi ni mmoja kati ya wafugaji wa kwale, kwale ni ndege wazuri sana ni rahisi kuwafuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…