Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

Tumainiandy

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
430
Reaction score
91
Mayai ya kware ambayo ni mazuri kwa afya yako na familia yako hasa katika kuongeza kinga za mwili na kwa makuzi ya watoto sana yanapatikana ukihitaji kujua zaidi faida zake unaweza kutembelea
 

Attachments

  • Mishikaki ya kware.jpg
    10.2 KB · Views: 1,131
Wjapani waligundua zamani umuhimu wa mayai haya kwa watoto katika kuimarisha ubongo hivyo wamweka umuhimu kuwa chakula hicho kinaliwa shuleni kama sisi tulivyokuwa tunapewa maharage.Ongeza kwenye mlo wa familia yako uone tofauti.

 
Umeyatoa wapi ikiwa kware ni ndege wa porini
 
Tiba mbadala mbona siye wengine sio matahira ila hatukula haya mayai.acheni wizi eti tray elfu ishirini
 
Tiba mbadala mbona siye wengine sio matahira ila hatukula haya mayai.acheni wizi eti tray elfu ishirini

Kumbuka zamani hakukuwa na maradhi mengi kama sasa.
Hivyo ubunifu huu unatokana na shida tulizonazo
 
Mtazamo wangu ni huu kuwa hiki ni chakula bora mayai ya kware ya nutrients 78 ambazo ni bora na zinahitajika katika mwili wa mwanadamu katika hizo 45 haziko kabisa kwenye mayai wa ndege wengine na 31 ambazo ziko kwa kuku kware amezidi zaidi ya mara moja na nusu mpaka mbili nakushauri embu google benefit of quail eggs ujionee mwenyewe.


Tiba mbadala mbona siye wengine sio matahira ila hatukula haya mayai.acheni wizi eti tray elfu ishirini
 
Jamani muwe waelewa,mayai hsyo ni muhimu,utakapoumwa utayatafuta hata kwa elfu hamsini.

Mi nahitaji sana.0784413039
 
Kaka hilo ndio muhimu umenikumbusha ile mithali ya kiswahili heri kinga kuliko tiba.

Jamani muwe waelewa,mayai hsyo ni muhimu,utakapoumwa utayatafuta hata kwa elfu hamsini.

Mi nahitaji sana.0784413039
 
mbona kama co mayai ya kware ni mayai ya kimuu?
 
Mayai ya kware kama moja ya chakula bora kina nutrients nyingi kwa ajili ya kuongeza kinga kwenye mwili wako na vile vile yana ladha tamu kwa maana york yake ni kubwa kuliko ute jipatie leo wewe na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…