kitandilikunja
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 229
- 37
Mayai ya kwale ndiyo habari ya mujini
Hivi ukubwa wake ni kama mayai ya njiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayai ya kwale ndiyo habari ya mujini
Mtazamo wangu ni huu kuwa hiki ni chakula bora mayai ya kware ya nutrients 78 ambazo ni bora na zinahitajika katika mwili wa mwanadamu katika hizo 45 haziko kabisa kwenye mayai wa ndege wengine na 31 ambazo ziko kwa kuku kware amezidi zaidi ya mara moja na nusu mpaka mbili nakushauri embu google benefit of quail eggs ujionee mwenyewe.
Mayai ya kware yanaendelea kuwasaidia watu wengi katika kujenga afya zao jaribu nawe uone tofauti katika maisha yako na familia yako
Wadau iko hivi .
Mayai ya Kwale ni mazuri saana kwa Afya ...hii ni kweli .
Kama huamini ni vyema ukatafuta mtu ambaye kashayatumia kwa kufuata utaratibu wake na akushuhudie ni nn matomeo yake .
Kwa atayakaye hitaji kuyapata mayai haya kwa bei nafuu kabisaa Ya Tsh 15000/= Mayai 30 . kwa trei bei ambayo ni tofauti na wauzaji wengine .
Nipo Dar-es-salaam ..
Nitakupatia na formula/utaratibu maalumu wa kuyatumia mpaka dose iishe .
Karibuni saana kwa anayehitaji ataniPM .
Ahsenteni .