October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Miye nasema sijui! Mayai yetu wao wameyatumbua kwa risasi.
Washazoea kuchezea mayai yetu. Siye fukara hatuwezi kujichanga kununua hata bunduki ya laki saba siye.
Siye hata tukipewa bunduki hatuwezi kutumia siye. Siye hatujui zinapouzwa siye. Miye sijui walahi.
Mwasema siye ati wachochezi. Muue babaangu nikae kimya sio. Yee babangu alikuwa mchochezi siyo. Hao walia juzi kuuawa dugu zao siye tumelia tumenyamaza.
Juzi hiyo mwaua ndugu zetu tena. Nye Nye Nye. Mwasema mpo ngazi ya mbinguni hatutofika. Na bado. Hakuna ngazi hatupanda. Zamu yetu leo twajua hamtuelewi vipi twa-feel ila soon mtatuelewa. Tutachekeshana sana mbona. Na bado.