Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,056
- 4,608
Mkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.Huko nyuma kuna thread iliyoletwa na mwanahabari na Broadcaster Nguli Ndugu yangu Paskali Mayalla kuhusu huyu msukuma mwenzake Paulo Makonda.
Swali kwako Mayalla je Makonda bado ni Presidential Material?
Mkuu Mayalla sidhani kama First Lady Eleanor Roosevelt alimaanisha kama ulivyoijibu hoja yangu. Kuna kitu watu walimjadili Donald Trump if he possesses Temperament to be president sasa kaingia mwaka wa tatu tunashuhudia vioja vingi. Kwa mantiki yako waliojadili kuhusu temperament ya Trump walikua ni ordinary mind.Mkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.
Mtu kuwa presidential material ni possession of presidential virtues, ukiisha kuwa, you are!.
P
Ha ha ha tumejifunza kitu huyu awe Msukuma wa mwisho kumpatia madaraka. Kuna usemi unaosema Mgema akisifiwa tembo hulitia maji na ndicho anachokifanya huyu msukuma wa chato na yule wa bashite. Ila tukubali 80% atatusaidiaLabda raid wa kwao huko usukumani.
Mkuu nakuheshimu sana, ila kwa hii ya kuleta kabila la mtu kwenye siasa umekosea sana,Ha ha ha tumejifunza kitu huyu awe Msukuma wa mwisho kumpatia madaraka. Kuna usemi unaosema Mgema akisifiwa tembo hulitia maji na ndicho anachokifanya huyu msukuma wa chato na yule wa bashite. Ila tukubali 80% atatusaidia
Unaweza usiamini hata kujua huyu First Lady Eleanor Roosevelt, simjui!, kumbe na yeye ulimuuliza swali kama hili akajibu hoja yako, tusaidie kutufahamisha ulimuuliza nini akajibuje ili na akina sisi tuanze kujibu kama First Lady Eleanor Roosevelt.Mkuu Mayalla sidhani kama First Lady Eleanor Roosevelt alimaanisha kama ulivyoijibu hoja yangu. Kuna kitu watu walimjadili Donald Trump if he possesses Temperament to be president sasa kaingia mwaka wa tatu tunashuhudia vioja vingi. Kwa mantiki yako waliojadili kuhusu temperament ya Trump walikua ni ordinary mind.
Leta hoja za maana mkuu siyo ku miss use quote ya first Lady
kwahiyo Paskali hiyo quote ni yako siyo?Unaweza usiamini hata kujua huyu First Lady Eleanor Roosevelt, simjui!, kumbe na yeye ulimuuliza swali kama hili akajibu hoja yako, tusaidie kutufahamisha ulimuuliza nini akajibuje ili na akina sisi tuanze kujibu kama First Lady Eleanor Roosevelt.
Possession ni kitu mtu anacho acquire, akiisha kuwa nacho anacho.
P
ni jokeMkuu nakuheshimu sana, ila kwa hii ya kuleta kabila la mtu kwenye siasa umekosea sana,
Tunaweza kumkosoa mtu bila kuweka kabila lake, kuepuka kuchochea moto siasa za ukabila
Wakati wewe ukiwishi awe wa mwisho, kuna makumi, mamia, maelfu na makumi elfu wanaotaka ule ukomo uondolewe, ili aendelee indefinitely.Mkuu Mayalla sidhani kama First Lady Eleanor Roosevelt alimaanisha kama ulivyoijibu hoja yangu. Kuna kitu watu walimjadili Donald Trump if he possesses Temperament to be president sasa kaingia mwaka wa tatu tunashuhudia vioja vingi. Kwa mantiki yako waliojadili kuhusu temperament ya Trump walikua ni ordinary mind.
Leta hoja za maana mkuu siyo ku miss use quote ya first Lady
Quote ipi, ?.kwahiyo Paskali hiyo quote ni yako siyo?
Kwa bahati mbaya sana mimi siyo muathirika. Halafu huwa nasema ukweli pale ninapoona kuna haja kuunga mkono. Ila nisichoweza ni kuwa mtoa sifa kila kukicha hata kama katiba inakanyagwa. Msilete upuuzi wa Republican wa kila ukweli ukisemwa wanadai ni fake news. Mayalla anajua kabisa kuna mada nyingi sana ninamsifu pale ninapoona anahitaji sifa.Halafu na hili la kuwa tunashinda jukwaani kuwajadili viongozi ni mapungufu ya kimaadili na ni utovu wa adabu kiwango cha dreamliner!
Kila binadamu ana mapungufu yake, ndiyo maana aliyemteua anaona anafaa kuendelea kuhudumu katika nafasi hiyo.
Ndiyo maana wengine tuliochoshwa na mada za hivi, tulishaweka jibu la jumlajumla kwamba, kila anayeleta mada za kinyume nyume kama hii, basi ni muathirika wa biashara haramu zilizoanzishiwa vita na Paulo ama mtu huyo ni kandarasi kanjanja wanaorukishwa kichurachura kama wagambo kwa kushindwa kwao kuwajibika ama waliozoea kujipatia vipato vya 'mission town', ambavyo sasa hivi vimebhuma.
Mkuu mimi nimeandika mengi sana kuhusu Rais magufuli na unalijua hili nimekua mtetzi wake mkubwa pale ninapoona kuna haja na ukweli kumtetea lakini pale anapovunja katiba siwezi kumtetea. Halafu hii thread haimhusu Rais bali ni mteule wakeWakati wewe ukiwishi awe wa mwisho, kuna makumi, mamia, maelfu na makumi elfu wanaotaka ule ukomo uondolewe, ili aendelee indefinitely.
Na kwasababu watu wa makabila tofauti wana different performances, watu tumeisha anza kutoa ushauri
PKiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Wanabodi, Naangalia huu mkutano wa Rais Magufuli na wafanyabiashara, kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa rais Magufuli. Namtafakari jinsi huyu jamaa anavyochapa kazi hadi sijui analala saa ngapi maana aliwahi kusema ana mafaili hadi room. Angalizo: Kama wewe ni mmoja wa wale wenye allegy...www.jamiiforums.com
we bado huoni kosa LA idriss? Kasikilize maelezo ya wakili wake utaelewaNitangulize kwa kusema kuna baadhi ya mambo ayafanyayo huyu kiumbe anayeitwa Paulo Makonda ana mikono michafu a.k.a Bashite nakubaliana nayo. Baadhi ni vita dhidi ya mihadarati na kusaidia vijana wasiojiweza na baadhi ya maamuzi ya kuwasaidia wenye umasikini.
Huko nyuma kuna thread iliyoletwa na mwanahabari na Broadcaster Nguli Ndugu yangu Paskali Njaa Mayalla kuhusu huyu msukuma mwenzake Paulo ana mikono michafu Makonda.
Kwa sasa ni miaka minne imepita na ameshaleta vituko vingi zaidi katika serikali ya msukuma mwenzake Pombe. Msumari wa mwisho ni hili suala la Idrisa Sultan. Wengine tunashindwa hata kujua ni kipengele gani watakitumia kumfanya atiwe hatiani. Wanasheria wa jamvini kama kina mtani wangu Petro E. Mselewa na wenzake watusaidie.
Swali kwako Mayalla, je Makonda bado ni Presidential Material?
jibu tamu hiliMkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.
Mtu kuwa presidential material ni possession of presidential virtues, ukiisha kuwa, you are!.
Hivyo bandiko hili
bado liko validBaada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
P
Unapokuwa too subservient and submissive namna hii unakosea. Hata wanaotoa vyeo wanakudharau, be real, be yourself watakuona. Mbona Kitila Mkumbo na Julius Mtatiro hawakubend this much low?Wakati wewe ukiwishi awe wa mwisho, kuna makumi, mamia, maelfu na makumi elfu wanaotaka ule ukomo uondolewe, ili aendelee indefinitely.
Na kwasababu watu wa makabila tofauti wana different performances, watu tumeisha anza kutoa ushauri
PKiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Wanabodi, Naangalia huu mkutano wa Rais Magufuli na wafanyabiashara, kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa rais Magufuli. Namtafakari jinsi huyu jamaa anavyochapa kazi hadi sijui analala saa ngapi maana aliwahi kusema ana mafaili hadi room. Angalizo: Kama wewe ni mmoja wa wale wenye allegy...www.jamiiforums.com
Kwanza pole, piliUnapokuwa too subservient and submissive namna hii unakosea. be real, be yourself, Mbona hawakubend this much low?
Yaani na akilili zako zote tunazokujua leo una diriki kumuona Bashite kwa namna hiyo? Umenikatisha tamaa sana