Mayalla Paschal bado unaamini kuwa Paulo Makonda bado ni Presidential material?

Hata kama hakuna sheria. Tutamsumbua sana mpaka wenzake wamuonee huruma by waziri fulani ya awamu ya 5
 
Uthubutu gani alionao huyu BASHITE? Hivj kwenda kumshambulia Tundu Lissu mchana kwa kuwa Meko karidhia ndiyo unaita uthubutu? Kwenda kwa matajiri kama NAS haulers na GBP na Yusuf Manji na kudai hela in terms of Billions huku akiwatisha kuwa wasipitoa atawaweka kwenye orodha ya wauza madawa ya kulevya ndiyo unaita uthubutu?
Uthubutu ambao ni IMPUNITY by 100% kwa kuwa Meko anaridhia mauchafu hayo kweli ndiyo unataka kumlinganisha na future presidential candidates?

Tunakuheshimu Mayalla, acha utani kwenye vitu serious.
 
P. Mayala. Utaheshimika usipofungua mdomo. Kwa haya unayoandika hapa kila mtu anajua ukomo wa readoning capacity yako.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa vichwa kama hivi acha tu mkimbize mwenge wa uhuru mpaka atakaporudi masiah
 
Una linganishaje trump na bashite ??
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa bongo kila jambo linawezekana
 
Upuuzi mtupu
 
Kama hajakuelewa hapa basi hatokuelewa milele
 
Kama hajakuelewa hapa basi hatokuelewa milele
Mkuu siyo kwamba haelewi bali ni mgumu wa kukubali kusema kama ilikua mapema kusemavyale aliyoyasema. Makonda hana uwezo wa kuwa rais katika nchi ya kidemokrasia. Huyu tuliyenaye atavuruga waziwazi katiba na bado tunamsifu. Inawezekanaje anaongoza nchi kama kampuni yake binafsi? Matumizi mengi ya serikali lazima yawe appropriated na kamati za bunge. Lakini jamaa kawa Executive judiciary na Legislative branch vyote kaweka mfukoni. Tukijisahau hivi akija mwingine atafanya hivyohivyo. Tuachane na tabia yabkutuita tunaokosoa ni waathirika sababu nchi ni yetu wote na tuna wajibu kutoa maoni.

Makonda kaonyesha hawezi kuwa kiongozi yupo so partisan hata kumzidi baba yake
 
Kwahiyo huyu bibi Mtangazaji, muuliizaji maswali ndie aliekuwa mke wa raisi Rosevelt, na ndie Paskali aliemnukuu, bila ya kujua kamnukuu nani?
Huyo alikua mke wa Franklin Roosevelt rais wa Marekani wa 32 na baba mkwe wake alikuwa rais wa marekani wa 26 Theodore Roosevelt. Pia yeye na FDR ambaye mme wake walikua mabinamu wa mbali. Huyu mama ndiye First Lady aliyekaa muda mrefu kuliko wengine maana 1933 mpaka 1945 almost vipindi 4.
.
 
Hata kama hakuna sheria. Tutamsumbua sana mpaka wenzake wamuonee huruma by waziri fulani ya awamu ya 5
Kimbelembele cha Makonda ndicho kilimfanya Marehemu Mwamwindi ampige na Gobore Dr Kleruu kule Iringa. Hivi Idrisa kutweet picha yake ikiwa na kichwa rais Makonda anakurupuka. Hivi nani alimwambia Rais ni Mungu? Maana hata Mungu anadhihakiwa lakini hawafanyi wstu wawe vilema ama wafe sababu yeye ni Mungu. Theresa May kawekewa video anacheza kama mr bean lakini hakuna aliyrwekwa ndani. Tujiulize hii sheria ya wakuu wa mikoa na wilaya kuwrka watu ndani ilianza jana? Mbona haikutumiwa na wsliotanguliwa?
 
Bashite hakuna kitu anachoweza zaidi ya vurugu. Hata Samuel Sitta alimtumia Bashite kumtukana Lowasa mwaka 2015 na kumfanyia fujo Mzee Joseph Warioba kwa sababu walikuwa wanakataa rasimu ya Katiba mpya.

Siyo kweli kwamba ana uthubutu bali kama kuna nguvu inayomlinda nyuma yake yuko tayari kufanya lolote. Mfano ni alipokwenda kumshambulia Tundu Lissu Dodoma alikuwa na nguvu ya Jiwe, Polisi na TISS.
 
Makonda ni mpakwa mafuta
 
unasema?/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…