Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Oct 24, 2017 #21 Kaona mapema aibu itakayokuja ndo maana kajiondoa na zahama ya mbwa fc
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 24, 2017 #22 Mawembasa1979 said: Mbona kwenye uzi mwingine hapo juu umejinasibu kuwa wewe ni mwanajangwani mkuu! Angalia tutakudharau na wewe kama unaongea kama uko unsound mind!!!! Click to expand... Tatizo lako nini? Kwani ukinidharau Wewe unasababisha njia yangu ya kwenda Chooni kuota nyasi? Kwani nilivyojiunga JF humu nilikutangazia kwamba nahitaji uniheshimu? Usinitibue tafadhali halafu nikakujibu ' kunya ' ukaninunia milele daima amina humu sawa?
Mawembasa1979 said: Mbona kwenye uzi mwingine hapo juu umejinasibu kuwa wewe ni mwanajangwani mkuu! Angalia tutakudharau na wewe kama unaongea kama uko unsound mind!!!! Click to expand... Tatizo lako nini? Kwani ukinidharau Wewe unasababisha njia yangu ya kwenda Chooni kuota nyasi? Kwani nilivyojiunga JF humu nilikutangazia kwamba nahitaji uniheshimu? Usinitibue tafadhali halafu nikakujibu ' kunya ' ukaninunia milele daima amina humu sawa?