Mayanja aipa Yanga nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu wa nne mfululizo!

Mayanja aipa Yanga nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu wa nne mfululizo!

Kaona mapema aibu itakayokuja ndo maana kajiondoa na zahama ya mbwa fc
 
Mbona kwenye uzi mwingine hapo juu umejinasibu kuwa wewe ni mwanajangwani mkuu! Angalia tutakudharau na wewe kama unaongea kama uko unsound mind!!!!

Tatizo lako nini? Kwani ukinidharau Wewe unasababisha njia yangu ya kwenda Chooni kuota nyasi? Kwani nilivyojiunga JF humu nilikutangazia kwamba nahitaji uniheshimu? Usinitibue tafadhali halafu nikakujibu ' kunya ' ukaninunia milele daima amina humu sawa?
 
Back
Top Bottom