Maybe I can do something for Chidi benzi. Niungeni mkono

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
624
Reaction score
1,023
Mwenye namba ya moja kwa moja kwa Chidi naomba anipatie, nahisi naweza kumsaidia kadri ya uwezo wangu.

LeBoss.
 
Utamsaidia nn bibie embu funguka tupime
 
connection...kumconnect na psycholologists, na financers
Who told you he needs financial and psychological support? Chid needs Sober, Jail and death thats why he has been using and carrying prohibited drugs...
 
Langa Aliimba "JELA,KIFO AU TAASISI NDIO MWISHO WA UTEJA"

1.Chid Benzi ameshakaa JELA

2. Ameshaa Kwenye Taasisi za Walioathirika kwa mateja


3. Bila shaka unaelewa Kilichobaki Kwake


RIP Langa


Sent From My Nokia Ya Tochi
Kifo....
 
Me na amin hakuna kisicho wezekana as long as mtu kajitolea kumsaidia mpeni ushirikiano sisi wenyewe tu wakosaji kwa style zingine tofauti ila hua tunajutia sa zingine tuna rudia makosa yale yale.. ni gharama sana kumpoteza chid kuliko kumuokoa ktk hio hali
 
Langa Aliimba "JELA,KIFO AU TAASISI NDIO MWISHO WA UTEJA"

1.Chid Benzi ameshakaa JELA

2. Ameshaa Kwenye Taasisi za Walioathirika kwa mateja


3. Bila shaka unaelewa Kilichobaki Kwake


RIP Langa


Sent From My Nokia Ya Tochi
Hilo halina ubishi
Watu wengi binadam wachache wengine hawapend mteja aache watamchekea usoni kisogoni wanamsema/wanatafta mabaya wanajifanya hawaoni mema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoo hapo sawa ngoja tukuchekie ila saivi yuko msimbazi police nadhani,so hapatikani hewani
sitaki kuongea nae moja kwa moja...as of now ndo hivyo yupo centro...naomba contact ya management yake
 
Una roho nzuri sana ngoja waje wenye namba zake umsaidie kwa kweli........
 
Yupo kituoni kashikiliwa na polisi.....source 255 na perfect chrispin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…