Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,023
Mwenye namba ya moja kwa moja kwa Chidi naomba anipatie, nahisi naweza kumsaidia kadri ya uwezo wangu.
LeBoss.
LeBoss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
connection...kumconnect na psycholologists, na financersUtamsaidia nn bibie embu funguka tupime
Nenda kituo cha polisi msimbazi yuko pale....Mwenye namba ya moja kwa moja kwa Chidi naomba anipatie, nahisi naweza kumsaidia kadri ya uwezo wangu.
LeBoss.
Who told you he needs financial and psychological support? Chid needs Sober, Jail and death thats why he has been using and carrying prohibited drugs...connection...kumconnect na psycholologists, na financers
Kifo....Langa Aliimba "JELA,KIFO AU TAASISI NDIO MWISHO WA UTEJA"
1.Chid Benzi ameshakaa JELA
2. Ameshaa Kwenye Taasisi za Walioathirika kwa mateja
3. Bila shaka unaelewa Kilichobaki Kwake
RIP Langa
Sent From My Nokia Ya Tochi
Ohoo hapo sawa ngoja tukuchekie ila saivi yuko msimbazi police nadhani,so hapatikani hewaniconnection...kumconnect na psycholologists, na financers
Hilo halina ubishiLanga Aliimba "JELA,KIFO AU TAASISI NDIO MWISHO WA UTEJA"
1.Chid Benzi ameshakaa JELA
2. Ameshaa Kwenye Taasisi za Walioathirika kwa mateja
3. Bila shaka unaelewa Kilichobaki Kwake
RIP Langa
Sent From My Nokia Ya Tochi
yuko cetral nenda utamkutaMwenye namba ya moja kwa moja kwa Chidi naomba anipatie, nahisi naweza kumsaidia kadri ya uwezo wangu.
LeBoss.
sitaki kuongea nae moja kwa moja...as of now ndo hivyo yupo centro...naomba contact ya management yakeOhoo hapo sawa ngoja tukuchekie ila saivi yuko msimbazi police nadhani,so hapatikani hewani
Contact ya management yake ngoja nikuchekie kwa mdausitaki kuongea nae moja kwa moja...as of now ndo hivyo yupo centro...naomba contact ya management yake
okContact ya management yake ngoja nikuchekie kwa mdau
sitaki kuongea nae moja kwa moja...as of now ndo hivyo yupo centro...naomba contact ya management yake
Ni bora ukasaidie watoto yatima...connection...kumconnect na psycholologists, na financers
Who told you he needs financial and psychological support? Chid needs Sober, Jail and death thats why he has been using and carrying prohibited drugs...