Mayele 1 ni sawa na Chama 8, Baleke 12, Phiri 13, Sakho 23, Kapombe 22 na chenchi inabaki

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Imefika hatua huyu kiumbe apewe heshima yake, na atambuliwe kwa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania.

Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man City. Ni mchezaji aliyekamilika idara zote, mpambanaji na anajua kutafuta na kufunga magoli, Predator haswahaswa! Maana kamili ya foward aliyekamilika.
 
Mimi ni nani hata nibishe
 
Huu utoto ungemaliza kwanza huko Facebook halafu ndo ukaja hapa kuandika vizuri hujui atanbuliwe na aloyekamilika ndo nini wewe Kilaza.
 
Subirini Chama fans wafike na uchambuzi maandaz
 
Ni kweli Mayele ni Striker mzuri kwa ligi ya Bongo.

Ila haya mengine uliyosema ni mtazamo wako au fact?

Okay, kama ni mtazamo wako hamna tatizo. Ila kama ni Fact tupe evidence.

N.B. Ila Manara wa Simba tutakukumbuka sana, ulikua na akili sana wakati ule, ila lile kuhusu akili za mashabiki wa Yanga litaendelea kuishi kizazi na kizazi.
 
Cjui bhangi gani hii umevuta Leo unatuletea uharo
 

Hapana alipaswa kuwepo mars kuna ligi inaendelea kule
 

Sawa hata chama 1000
Tufanye Tanzania team Yanga peke ake hakuna nyingine
 
Afya ya Akili au baridi la mvua๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

7up hapo karibu yako nitakulipia
 
Japo sina timu......ila MAYELE ni sawa na Kikosi kizma Cha MAKOLO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ