Mayele 1 ni sawa na Chama 8, Baleke 12, Phiri 13, Sakho 23, Kapombe 22 na chenchi inabaki

Mayele the game changer sema jamaa akipunguza kidogo uchoyo atakua mchezaji bora sana...
Jana man of the match ni Musonda 'the poacher
 
Kuna mtu Yanga hamumsemi ila ndio chachu kubwa mno kwa ushindi kwa timu.

Molokooooo.

Hatari sana huyu mtoto haogopi mabeki,anawafuata walipo.
 

Kweli kabisa jamaa ni complete forwad sema mapenzi yasikuzidi sana
 
Kwa kadri miaka inavyokwenda ndio wapumbavu wanangezeka Tanzania ,Ni ombi langu Mungu akusaidie una tatizo la afya ya akili ,unataja vitu bila kujua ukubwa wake na mpangilio .Eti Barcelona , Liverpool,psg ,man city ,madrid.Tatizo la afya ya akili ni kubwa ,ushauri wangu tafuta Hela over excitement itakuacha,utafikiri vizuri ,utaona vizuri.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
 
Ukiondoa Baleke na Phiri wengimne wameshachaguliwa timu za wiki Afrika halafu unalinganisha mchezaji anayecheza kombe la Looser na wale wanaocheza ligi ya mabingwa Luic hakukosea
 
Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man City. Ni mchezaji aliyekamilika idara zote,
Akichukuliwa na hizo timu utasikia wanasiasa "...tulimpika sisi akaiva wamemnyakua"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…