Edson Carrington
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 216
- 636
Duuh!!Japo sina timu......ila MAYELE ni sawa na Kikosi kizma Cha MAKOLO
Kweli wewe ni mla unga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!!Japo sina timu......ila MAYELE ni sawa na Kikosi kizma Cha MAKOLO
Imefika hatua huyu kiumbe apewe heshima yake, na atambuliwe kwa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania.
Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man City. Ni mchezaji aliyekamilika idara zote, mpambanaji na anajua kutafuta na kufunga magoli, Predator haswahaswa! Maana kamili ya foward aliyekamilika.
Kwa kadri miaka inavyokwenda ndio wapumbavu wanangezeka Tanzania ,Ni ombi langu Mungu akusaidie una tatizo la afya ya akili ,unataja vitu bila kujua ukubwa wake na mpangilio .Eti Barcelona , Liverpool,psg ,man city ,madrid.Tatizo la afya ya akili ni kubwa ,ushauri wangu tafuta Hela over excitement itakuacha,utafikiri vizuri ,utaona vizuri.Imefika hatua huyu kiumbe apewe heshima yake, na atambuliwe kwa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania.
Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man City. Ni mchezaji aliyekamilika idara zote, mpambanaji na anajua kutafuta na kufunga magoli, Predator haswahaswa! Maana kamili ya foward aliyekamilika.
Imefika hatua huyu kiumbe apewe heshima yake, na atambuliwe kwa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania.
Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man City. Ni mchezaji aliyekamilika idara zote, mpambanaji na anajua kutafuta na kufunga magoli, Predator haswahaswa! Maana kamili ya foward aliyekamilika.
Imefika hatua huyu kiumbe apewe heshima yake, na atambuliwe kwa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania.
Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man City. Ni mchezaji aliyekamilika idara zote, mpambanaji na anajua kutafuta na kufunga magoli, Predator haswahaswa! Maana kamili ya foward aliyekamilika.
Manara alishasema ukitoa watu wawili,waliobaki ndo kama haoMkuu, Jitahidi sana mapenzi yako kwa Yanga yasikufanye ukaonekana mjinga mjinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana alipaswa kuwepo mars kuna ligi inaendelea kule
Akichukuliwa na hizo timu utasikia wanasiasa "...tulimpika sisi akaiva wamemnyakua"Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man City. Ni mchezaji aliyekamilika idara zote,