Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Especially mashabiki wa SimbaJamii forum ukitaka kujua uwezo wa kufikili wa watu hata hutumii nguvu
Ukigusa Mayele kwa mwana Yanga ni sawa na unataka kumuibia Mke/Mume. Akili huwatoka kabisa.Leo DR Congo walicheza na Uganda na matokeo ni 1 1, beki Inonga Baka na mshambuliaji Fiston Mayele walianza, hata hivyo Mayele ambaye ni mfungaji bora ligi kuu nchini alitolewa katika dakika ya 73 baada ya kushindwa kumudu mchezo.
Mm namshauri arudi Yanga kulinda heshima, timu hizi mchezaji anaonekana mzuri kutokana na mambo ya utamaduni, nje ya hapo hamna lolote.
Huko anakowindwa akifunga mabao 5 nipo humu.
Punguza kujidhalilishaMke mwenzio inonga nae unamshauri nini
Hii comment yako iwekewe lamination Mkuu. Kuna watu ni Mzuzu mpaka unashindwa kuwatofautisha na bata mzinga.Jamii forum ukitaka kujua uwezo wa kufikili wa watu hata hutumii nguvu
Wakiongozwa na bwana bobEspecially mashabiki wa Simba
Jamaa sijui hua wanatumia Nini kufikiri
Yaan ni kama hawawaziHii comment yako iwekewe lamination Mkuu. Kuna watu ni Mzuzu mpaka unashindwa kuwatofautisha na bata mzinga.
Furaha au huzuni kwa Mayele kufanya vizuri wakati akiitumikia timu yake ya taifa inawahusu wakongo na sio watanzania.Leo DR Congo walicheza na Uganda na matokeo ni 1 1, beki Inonga Baka na mshambuliaji Fiston Mayele walianza, hata hivyo Mayele ambaye ni mfungaji bora ligi kuu nchini alitolewa katika dakika ya 73 baada ya kushindwa kumudu mchezo.
Mm namshauri arudi Yanga kulinda heshima, timu hizi mchezaji anaonekana mzuri kutokana na mambo ya utamaduni, nje ya hapo hamna lolote.
Huko anakowindwa akifunga mabao 5 nipo humu.
Sasa anayejidhalilisha hapa kati ya me ma huyu lofa mtoa mada ni nani?Punguza kujidhalilisha