Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Alitolewa sub dakika ya 73 akibadilishana na jamaa mmoja anaitwa KakutaIla mleta mada kaja kuchangamsha genge tu. Hiyo mechi DRC kashinda 1-0 na siyo sare ya 1-1 kama alivyosema na Mayele kacheza gemu nzima. Hizo ndiyo data nilizonazo mimi.