Mayele akiacha uchoyo wa pasi Yanga itakuwa inafunga magoli mengi kimataifa

Mayele akiacha uchoyo wa pasi Yanga itakuwa inafunga magoli mengi kimataifa

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Kwanza niwapongeze wamanchi wenzangu kwa ushindi huu, Pili kwa vibunda tulivyoahidiwa kwa kila idadi ya goli 5M.

Pili mayele ametufelisha sana leo, anachelewesha mipira, anataka kufunga magoli yeye kama yeye hata kama kuna nafasi ya kutoa pasi.

Vionfozi wangu wa Yanga naamini mtamuelekeza aache Umimi, sio lazima afunge yeye, Kikubwa timu ishinde hata asipofunga akatoa assist ina mchango mkubwaa..

Makole hamna haki ya kuwa JF saivi ( Just kidding)😂
 
Ushindi wa leo hata simba wamefurahi. Eatani wao wamewalipizia, nvhi isionekane kanyaboya
 
Back
Top Bottom