Mayele alistahili tuzo ya Mchezaji bora

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa namna ya perfomance yakè uwanjani, ubora na uwezo aliouonyesha katika kuzifumania nyavu....kwa hamasa alioijenga katika jamii ya wapenzi wa kandanda...kwa jinsi alivyo trend
Mitaani...
Nyumba za ibada..
Bungeni.

Hata ndani ya hotuba ya waziri wa fedha akihitimisha bunge la bajeti..alivyo trend mitandaoni ndani na nje ya nchi.

Mwamba huyu alistahili tuzo ya mchezaji bora wa Nbc premier league msimu huu uliomalizika.
 
Mwakani atapata aendelee kutetema tu.
 
Hujui hata Nyoso alitrend sana? Yaani style flan ya ushangliaji iliyojizolea umaarufu na kumpa jina unataka ndo kiwe kigezo cha uchezaji bora. Ufungaji bora alikuwa G. Mpole na pengne angekuwa club pendwa wa kutetema angekosa na umaarufu
 
Watu mbona mnamchukia fiston hivi jamani acheni wivu..
 
Wahini CAS mkalianzishe kama kawaida yenu.
 
Hizo zote ni mbwembwe tuu
 
Kiatu cga mfungaji bora kakosa kaambulia soksi,mchezaji bora kakosa kaambulia mtetema bora
 
Kiatu cga mfungaji bora kakosa kaambulia soksi,mchezaji bora kakosa kaambulia mtetema bora
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Ukiwa yanga lazima dish liyumbe kidogo
 
Ukiwa yanga lazima dish liyumbe kidogo
pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…