ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa namna ya perfomance yakè uwanjani, ubora na uwezo aliouonyesha katika kuzifumania nyavu....kwa hamasa alioijenga katika jamii ya wapenzi wa kandanda...kwa jinsi alivyo trend
Mitaani...
Nyumba za ibada..
Bungeni.
Hata ndani ya hotuba ya waziri wa fedha akihitimisha bunge la bajeti..alivyo trend mitandaoni ndani na nje ya nchi.
Mwamba huyu alistahili tuzo ya mchezaji bora wa Nbc premier league msimu huu uliomalizika.