muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Kwaiyo malengo ya timu yametimia,Simba mambo kama hayaNTIBAZONKIZA ANAWASILIMIA UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KIATU KILE MSIMBAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
unaota wewe! CAF champions league waachie wanaume, acha ndoto za mapema.Chukuweni Na kombe chukuweni sisi malengo yetu ni CAF tu
Na hakipati😀😀Kama kuna kitu kilimuumiza Mayele ni Mpole kchukua kiatu msimu pita..... Kama Kuna kitu Mayele anakitaka msimu huu ni kiatu.
Mrisho NgassaMfungaji Bora wa CAF toka TZ imeanzishwa hakujawahi kutokea mfungaji Bora wa mashindano ya kimataifa tofauti Na mayele mpeni heshima yake
Acha kudanganya watu, kama hujui kaa kimya.Mfungaji Bora wa CAF toka TZ imeanzishwa hakujawahi kutokea mfungaji Bora wa mashindano ya kimataifa tofauti Na mayele mpeni heshima yake
Acha kudanganya watu, kama hujui kaa kimya.
Unamfahamu Mrisho Ngasa?, hajawahi kuwa mfungaji bora michuano ya yeyote inayosimamiwa na CAF?, ngoja niishie hapo😭
Yalianza Makolo kuwapokea TP Mazembe, mchezo ulioisha kwa YANGA kufungwa goli moja bila kwa Mkapa msijisahaulishe.Kila ukijaribu kuangalia Nyuzi nyingi za KIPUMBAVU ni za Mashabiki WA Yanga.
Yale mnayoyaandika hapa ndio kipimo Cha Akili.
Upeo WENU WA mawazo, FIKRA na UFAHAMU ni mdogo sana.
Ndio maana Huwa mnaenda kupokea wageni UWANJA WA Mwalimu Nyerere.
Airport.
Waliponunua we ulikuepo??unaweza kuuza mechi akati mnapambana kushuka daraja??Uwezo gani wakununua mechi mayele tayari afrika wanajua ni mfungaji Kweli Kweli hayo mengine ni porojo tu
Robo fainali ambapo hujawahi kutia iyo pua yakoMfungaji Bora wewe umechukuwa Nini
Mwakani mmepanga kumlipa tsh ngapi asiondoke?Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.
Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Sasa Mrisho Ngasa na Saido wana tofauti IPI?Acha kudanganya watu, kama hujui kaa kimya.
Unamfahamu Mrisho Ngasa?, hajawahi kuwa mfungaji bora michuano ya yeyote inayosimamiwa na CAF?, ngoja niishie hapo😭
Kwani yeye nani kamkataza kufunga hata goli 49 mechi moja,tatizo mtu kwenye nafasi 6 anaweka moja sasa utamsaidiaje kiumbe kama huyo,??acha wamnyooshe tu wenye uwezo wa kufunga wachukue kiatu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binafsi ningekuwa ni mayele hakika ulikuwq msimu wa mwisho kucheza ligi ya Tz, inaumiza na inakera Sana. Mtu anatumia damu na jasho lake kuhakikisha anapata magori afu inatokea mtu ati "5 goals" kwenye mechi moja? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Msimu uliyopita Tff na bodi ya ligi kwa makusudi walomfanyia hujuma,hawajalidhika ops..... Ni Tz pekee haya yanweza kutokea.
Hata mayele aliwafunga 6 zalan,umesahau?Magoli ya Saido yanafikirisha kiasi! Katika magoli 15 aliyofunga, magoli 4 aliwafunga Tz Prisons na 5 ndiyo hayo aliyopewa na Polisi Tz! Mechi 2 dhidi ya timu dhaifu kafunga goli 9! Huyu Saido kule klabu bingwa mbona hafanyi haya anayoyafanya dhidi ya hivi vitimu?? Magoli ya Mchongo!