Mayele amuachie Saido kiatu cha mfungaji Bora NBC

Mayele amuachie Saido kiatu cha mfungaji Bora NBC

NTIBAZONKIZA ANAWASILIMIA UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KIATU KILE MSIMBAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Kwaiyo malengo ya timu yametimia,Simba mambo kama haya
yata wafelisha sana
 
Mfungaji Bora wa CAF toka TZ imeanzishwa hakujawahi kutokea mfungaji Bora wa mashindano ya kimataifa tofauti Na mayele mpeni heshima yake
Acha kudanganya watu, kama hujui kaa kimya.

Unamfahamu Mrisho Ngasa?, hajawahi kuwa mfungaji bora michuano ya yeyote inayosimamiwa na CAF?, ngoja niishie hapo😭
 
Kila ukijaribu kuangalia Nyuzi nyingi za KIPUMBAVU ni za Mashabiki WA Yanga.

Yale mnayoyaandika hapa ndio kipimo Cha Akili.

Upeo WENU WA mawazo, FIKRA na UFAHAMU ni mdogo sana.

Ndio maana Huwa mnaenda kupokea wageni UWANJA WA Mwalimu Nyerere.
Airport.
Yalianza Makolo kuwapokea TP Mazembe, mchezo ulioisha kwa YANGA kufungwa goli moja bila kwa Mkapa msijisahaulishe.
Na hata mechi ya Yanga na USMA ambapo Yanga walishinda 2-1 hapo National Stadium baada ya kufungwa 4 bila kule Algeria, wakati wanajiandaa kuja walisema hawatakuja na mashabiki wao kwa sababu washabiki watawakuta huku huku.
 
Uwezo gani wakununua mechi mayele tayari afrika wanajua ni mfungaji Kweli Kweli hayo mengine ni porojo tu
Waliponunua we ulikuepo??unaweza kuuza mechi akati mnapambana kushuka daraja??
 
Mayele ameshiriki Caf Champions League lini hadi kuwa mfungaji namba 2 nyuma ya Peter Shalulile wa Mamelod Sundowns
 
Bado Simba kwa mechi moja tu ya mwisho wanaweza kuamua yoyote kati ya Saido, Bocco, Phiri na hata Sakho awe mfungaji bora wa msimu.
 
Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.

Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Mwakani mmepanga kumlipa tsh ngapi asiondoke?
 
Binafsi ningekuwa ni mayele hakika ulikuwq msimu wa mwisho kucheza ligi ya Tz, inaumiza na inakera Sana. Mtu anatumia damu na jasho lake kuhakikisha anapata magori afu inatokea mtu ati "5 goals" kwenye mechi moja? 🤣🤣🤣🤣.

Msimu uliyopita Tff na bodi ya ligi kwa makusudi walomfanyia hujuma,hawajalidhika ops..... Ni Tz pekee haya yanweza kutokea.
 
Magoli ya Saido yanafikirisha kiasi! Katika magoli 15 aliyofunga, magoli 4 aliwafunga Tz Prisons na 5 ndiyo hayo aliyopewa na Polisi Tz! Mechi 2 dhidi ya timu dhaifu kafunga goli 9! Huyu Saido kule klabu bingwa mbona hafanyi haya anayoyafanya dhidi ya hivi vitimu?? Magoli ya Mchongo!
 
Acha kudanganya watu, kama hujui kaa kimya.

Unamfahamu Mrisho Ngasa?, hajawahi kuwa mfungaji bora michuano ya yeyote inayosimamiwa na CAF?, ngoja niishie hapo😭
Sasa Mrisho Ngasa na Saido wana tofauti IPI?

Kuifunga timu dhaifu ya Commoro goli 7 ndio uwe mfungaji bora?

Unajuwa Mayele aliwafunga goli ngapi Zalan?

Magoli yanahesabiwa kuanzia kwenye makundi.
 
Binafsi ningekuwa ni mayele hakika ulikuwq msimu wa mwisho kucheza ligi ya Tz, inaumiza na inakera Sana. Mtu anatumia damu na jasho lake kuhakikisha anapata magori afu inatokea mtu ati "5 goals" kwenye mechi moja? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Msimu uliyopita Tff na bodi ya ligi kwa makusudi walomfanyia hujuma,hawajalidhika ops..... Ni Tz pekee haya yanweza kutokea.
Kwani yeye nani kamkataza kufunga hata goli 49 mechi moja,tatizo mtu kwenye nafasi 6 anaweka moja sasa utamsaidiaje kiumbe kama huyo,??acha wamnyooshe tu wenye uwezo wa kufunga wachukue kiatu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Magoli ya Saido yanafikirisha kiasi! Katika magoli 15 aliyofunga, magoli 4 aliwafunga Tz Prisons na 5 ndiyo hayo aliyopewa na Polisi Tz! Mechi 2 dhidi ya timu dhaifu kafunga goli 9! Huyu Saido kule klabu bingwa mbona hafanyi haya anayoyafanya dhidi ya hivi vitimu?? Magoli ya Mchongo!
Hata mayele aliwafunga 6 zalan,umesahau?
 
Back
Top Bottom