Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.
Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.
Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.
Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Hawezi kukumbuka wakiwa wana hasiraHata mayele aliwafunga 6 zalan,umesahau?
Hebu acha kubana pua, unaongea upuuzi....Kwani yeye nani kamkataza kufunga hata goli 49 mechi moja,tatizo mtu kwenye nafasi 6 anaweka moja sasa utamsaidiaje kiumbe kama huyo,??acha wamnyooshe tu wenye uwezo wa kufunga wachukue kiatu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gori 6 mechi moja?. Unawaza kwakutumia takle?.Hata mayele aliwafunga 6 zalan,umesahau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utopoloo wanachekeshaa mnoo.Caf mmechukua nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngassa umesahau tena? Si ni wa huko huko utopoloni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfungaji Bora wa CAF toka TZ imeanzishwa hakujawahi kutokea mfungaji Bora wa mashindano ya kimataifa tofauti Na mayele mpeni heshima yake
Sasa kwani nani kamzuia sasahv kufunga 5 katika mechi moja,?wangese nini?Gori 6 mechi moja?. Unawaza kwakutumia takle?.
Jibu swali,acha kurukaruka kama imezama..unless mnalalamika kigay gay tu humuHebu acha kubana pua, unaongea upuuzi....
Utakuwa kitobo kipo wazi wewe 😋Sasa kwani nani kamzuia sasahv kufunga 5 katika mechi moja,?wangese nini?
Sio CAF, malizia caf confederation! Maana mataji ya CAF yapo mawili, kuna moja amabalo umetoka kuwa finalist juzi na kuna lile amabalo una 20+ years ujafika even group stageChukuweni Na kombe chukuweni sisi malengo yetu ni CAF tu
Kutoka ligi ya tz sawa ila kuna mtz alishakuwa mfungaji wa CAF champion league(yaani samata)...... Alafu mnatuchanganya mkiwa mnaishia CAF pekeake muwe mnamalizia CAF confederation maana zipo mbili.....sio kwa ubaya lakiniMfungaji Bora wa CAF toka TZ imeanzishwa hakujawahi kutokea mfungaji Bora wa mashindano ya kimataifa tofauti Na mayele mpeni heshima yake
Sizitaki mbichi hiziIkiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.
Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.
Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.
Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Wewe acha ujinga unalinganisha mtu mwenye goli Moja club bingwa na mwenye goli sita club bingwa ?Wapo wanaomfuata shalulile waangalie na uwataje sio mayele ,hii Africa nzima umeitoa wapi?Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.
Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.
Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.
Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Uto acheni kujisufu na hivyo vimedali vya losers confederation cup.Chukuweni Na kombe chukuweni sisi malengo yetu ni CAF tu
Nchi majinga mpo wengi sana halili mwarabu ajitwalie bandari zetu kwa miaka 100Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.
Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.
Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.
Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Nani huyo ana goli sita club bingwa na anatokea nchi gani?Wewe acha ujinga unalinganisha mtu mwenye goli Moja club bingwa na mwenye goli sita club bingwa ?Wapo wanaomfuata shalulile waangalie na uwataje sio mayele ,hii Africa nzima uneitoa wapi?
Mimi nilimuambia manara kwamba aache kumpamba mayele kwani mayele ni kimeoMayele mchezaji mwenye papara nyingi sana. Timu kubwa hawezi kukidhi ushambuliaji.
Shida tz malimbukeni wengi wanakuza tu majina.
Shalulile ana goli sita anafuatiwa na wengine wenye Tano na nneNani huyo ana goli sita club bingwa na anatokea nchi gani?
Aaah Mimi nilijua mayeleShalulile ana goli sita anafuatiwa na wengine wenye Tano na nne