Mayele amuachie Saido kiatu cha mfungaji Bora NBC

Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.

Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.

Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.

Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule

Ni kweli kabisa, wajinga huwa ni kuwapisha tu
 
Kwani yeye nani kamkataza kufunga hata goli 49 mechi moja,tatizo mtu kwenye nafasi 6 anaweka moja sasa utamsaidiaje kiumbe kama huyo,??acha wamnyooshe tu wenye uwezo wa kufunga wachukue kiatu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu acha kubana pua, unaongea upuuzi....
 
Mfungaji Bora wa CAF toka TZ imeanzishwa hakujawahi kutokea mfungaji Bora wa mashindano ya kimataifa tofauti Na mayele mpeni heshima yake
Ngassa umesahau tena? Si ni wa huko huko utopoloni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chukuweni Na kombe chukuweni sisi malengo yetu ni CAF tu
Sio CAF, malizia caf confederation! Maana mataji ya CAF yapo mawili, kuna moja amabalo umetoka kuwa finalist juzi na kuna lile amabalo una 20+ years ujafika even group stage
 
Mfungaji Bora wa CAF toka TZ imeanzishwa hakujawahi kutokea mfungaji Bora wa mashindano ya kimataifa tofauti Na mayele mpeni heshima yake
Kutoka ligi ya tz sawa ila kuna mtz alishakuwa mfungaji wa CAF champion league(yaani samata)...... Alafu mnatuchanganya mkiwa mnaishia CAF pekeake muwe mnamalizia CAF confederation maana zipo mbili.....sio kwa ubaya lakini
 
Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.

Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.

Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.

Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Sizitaki mbichi hizi
 
Wewe acha ujinga unalinganisha mtu mwenye goli Moja club bingwa na mwenye goli sita club bingwa ?Wapo wanaomfuata shalulile waangalie na uwataje sio mayele ,hii Africa nzima umeitoa wapi?
 
Chukuweni Na kombe chukuweni sisi malengo yetu ni CAF tu
Uto acheni kujisufu na hivyo vimedali vya losers confederation cup.
USM Alger aliyenyanyua ndoo wala hajajisifu
 
Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.

Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.

Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.

Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Nchi majinga mpo wengi sana halili mwarabu ajitwalie bandari zetu kwa miaka 100
 
Wewe acha ujinga unalinganisha mtu mwenye goli Moja club bingwa na mwenye goli sita club bingwa ?Wapo wanaomfuata shalulile waangalie na uwataje sio mayele ,hii Africa nzima uneitoa wapi?
Nani huyo ana goli sita club bingwa na anatokea nchi gani?
 
Mayele mchezaji mwenye papara nyingi sana. Timu kubwa hawezi kukidhi ushambuliaji.

Shida tz malimbukeni wengi wanakuza tu majina.
Mimi nilimuambia manara kwamba aache kumpamba mayele kwani mayele ni kimeo
 
Goli za Jana zimewauma sana uto. Ilikuwa ni dharau kubwa kwa ligi yetu mtu amelala, hataki kuendelea kucheza mechi zilizobakia kisa anafikiri tayari ana kiatu cha ufuagaji bora. Nina hakika Jana hajalala na mechi iliyobakia atafia uwanjani.
Hongera Saidoo kwa kuwaaamsha hawa vyura hahaha.
 
Back
Top Bottom