Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hata atuoneshe dharau, dogo anaupiga mwingi mbaya. Kila mechi anapasua watu. Leo kapiga kamoja Al Ahly wakishindaa 3 kwa 2 dhidi ya Pyramids.
Akiwa na magoli 14 mwanaume mwamba wa Congo anapekenyua kiatu cha Misri muda si mrefu.
Naamini Pyramids watamheshimu sana Eng. Hersi kama sio kumjengea sanamu kwa kuwapa kijana mwenye akili zake.