balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hata mimi hadi mwanangu nikimuita J.Kalala Mayele.Saa hizi hata sitaki kumsikiaNilimshabikia sana ila nikaacha baada ya kudai kapewa majini na Yanga badala ya kutambua tu kuwa alikuwa anahitaji muda wa kuzowea. Sasa majini hayo yamekwenda wapi.