balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Jul 13, 2024 #21 Kichuguu said: Nilimshabikia sana ila nikaacha baada ya kudai kapewa majini na Yanga badala ya kutambua tu kuwa alikuwa anahitaji muda wa kuzowea. Sasa majini hayo yamekwenda wapi. Click to expand... Hata mimi hadi mwanangu nikimuita J.Kalala Mayele.Saa hizi hata sitaki kumsikia
Kichuguu said: Nilimshabikia sana ila nikaacha baada ya kudai kapewa majini na Yanga badala ya kutambua tu kuwa alikuwa anahitaji muda wa kuzowea. Sasa majini hayo yamekwenda wapi. Click to expand... Hata mimi hadi mwanangu nikimuita J.Kalala Mayele.Saa hizi hata sitaki kumsikia
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Jul 13, 2024 #22 Lord Delamere in Kenya said: Hiyo hamu ihamishie kwangu basi. Click to expand... Hahahahahaha hayaa