NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 347
- 432
Baada ya hapo jana mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga kutoka DRC, Fiston Kalala Mayele kuzawadiwa ng'ombe mwingine na mashabiki huko Mwanza, ni wazi sasa viongozi waanze kutafuta mchele, kwani Mayele anaendelea kutafuta mboga hili siku ya mwananchi day mashabiki wakale uwanjani, mpaka ligi kuisha ng'ombe watakuwa wametosha.