Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Kuna namna ambavyo viongozi wa Simba wameamua kuwachezea mashabiki wao. Simba ilivyoenda Misri, stori kubwa ilikuwa ni Mayele kuitembelea Simba mara Mayele kuongea kuelekea mechi dhidi ya Al Ahly kisha boss wao Mo akapost kwenye ukurasa wake kaandika "Niseme au nisiseme" hiyo yote ni namna ya kuwazubaisha mashabiki wao.
Timu imetolewa klabu bingwa kwa kufungwa nje ndani tena kwa magoli mengi kisha imekuja kutolewa kombe la FA watu wakaanza maneno maneno mitandaoni mara hatumtaki Mo mara Mangungu na Try again. Baada ya hayo kujili ndipo Mayele kaja kuuzima moto kwa kubadilisha trending story midomoni mwa watu.
Mashabiki wa Simba wamepokea story ya Mayele na kuichukua kama ilivyo tena kwa furaha wakiaminishwa mabaya ya watani wao Yanga.
Mayele sio mtanzania na pia hachezei tena timu za Tanzania kuna sababu ipi ya kupewa air time na media za Tanzania kama sio ni mkakati huo?
Katika wachezaji waliondoka bila maelewano mazuri na Yanga ni Feisal, Niyonzima na Bangala lakini walicheza/ wanacheza vizuri tu mpira ndio atupiwe yeye majini aliyeondoka kwa kuuzwa?
Ni rahisi sana kwa wanasimba kuwatoa kwenye reli kwa danganya toto kama alivyoletwa Manzoki kwenye uchaguzi.