Mayele anatumika kimkakati

Usimtonye Boya
 
Najiuliza nani kapanga hiyo program kati ya Azam au Mayele? Lengo ni nini ikiwa Mayele sio mtanzania na pia ni mwajiriwa wa nje ya Tanzania.
Interview ya mayele ndo kombe la SIMBA msimu huu.
 
Simba wanachezeshwa Danganya Toto , kanyaboya
na wanapotezwa maboya ila hawaelewi.

Mangungu kawekwa na Selikali.

Try agian kawekwa simba na selikali.

Mayele kapiga hela ndefu sana kuwahadaa wana simba na wamehadaika vibaya.
 
Kitu kilichonishangaza ni mtangazaji na Mayele kushindwa kuonesha kwa watazamaji huo mguu ulivyovimba. Ni usanii huu kama usanii mwingine ikiwa na lengo baya kwa Yanga na pia kutuliza malalamiko kwa mashabiki wa Simba.
 
Bahati nzuri na matokeo hawapati.......raha sana kuongoza mbumbumbu......wameshasahau waliletewa hadi na mtazamaji wa uchaguzi toka Kongo Manzoki
 
Mayele naye ni mpumbavu ana mambo ya kitoto sana. Badala ya kucheza mpira yeye amekuwa anatumia muda mwingi kwenye mitandao kuiongelea Yanga tu. Alishaondoka, anatakiwa aangalie mbele lakini yeye kila siku anarudia ya Yanga tu. Inabidi Yanga impige gag order ya kumzuia asiongee jambo lolote linaloihusu Yanga, ama sivyo atashitakiwa. Halafu alishawahi kuatukana watanzania ilihali bado familia yake inaishi hapa hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…