Mayele anawaza kiatu cha dhahabu badala ya ushindi wa Yanga

Na wewe unamuwaza Mayele kuliko maisha yako.

🚶🚶🚶🚶
 
Muda huo USM wao watakuwa hawalioni Kombe?
 
Mchezaji lazima ajiangalie yeye kwanza, afu ndo Club ifuate.
Mafanikio yake yanamsaidia yeye kununuliwa
 
Bangi hizi.
 
Mnajipa matumaini yasiyoendana na uhalisia
 
MShambuliaji wa mwisho kazi yake kubwa ni kufunga. Embu muondoe Mayele halafu watazame uto wangekuwa nafasi ya ngapi?
 
Unasema Yanga inaubora upi kushinda Simba iliyomtesa wydad kwake mpaka kamasi linamchuruzika huku ikijichagulia namna ya kujipigia uto ikitandaza kabumbu la viwango vya champions league?
Mkumbushe Wydad Yuko fainali ya mabingwa Africa wakati Marumo kashuka daraja kwao
 
MShambuliaji wa mwisho kazi yake kubwa ni kufunga. Embu muondoe Mayele halafu watazame uto wangekuwa nafasi ya ngapi?
Mayele anawaza yeye afunge Hilo jambo hata kocha wake kaongea sema kwa yanga yeye ndio tegemeo kubwa la ufungaji. Ila hiyo tabia wanayo wafungaji wengi tuliona kwa Thierry Henry, Christian Ronaldo
 
Reactions: Tsh
Hata hivyo ameipambania timu yake sana tu. Yeye sio beki kwamba angeenda kuzuia goli lisifungwe. Ana haki ya kushangilia kupata kiatu cha dhahabu. Jitihada zake zimeifikisha timu yake hapa ilipo na Yeye pia anastahili kiatu cha dhahabu. Acha afurahie jitihada zake.
 
Kama ilivyo kwa mmeo Mbowe kuwaza ruzuku kuliko matatizo ya chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…