Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wee subiri mvua ya mabao kutoka kwa waarabu bas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga mechi ya pili ni rahisi kwao kuliko ya Taifa, hawatakuwa na pressure. Na hii imejionesha mechi zote anacheza away, anacheza vizuri na kupata matokeo tofauti na ilivyotarijiwa, kumbuka mechi na Al Hilal, Monastir, Marumo, Rivers.
Yanga watafanya vizuri
Hata Simba tu walichofanya dhidi ya Wydad ni dhahiri Yanga wenye ubora zaidi wanaweza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NYANKUNDO ndo nn??? Ila watu jamaniii khaaaahUlikuwemò mawazoni mwake/ akilini mwake? Acha kuongea hisia zako, NYANKUNDO
Zjngatia hakutetema kwa sababu timu bado ilikuwa inadaiwa magorView attachment 2641049Hata goli la pili alilofungwa Yanga Juzi, lilitokana na Mayele kushangilia kupita kiasi goli lake la kusawazisha , hii ni kwa vile aliamini aliongoza ufungaji kwa mabao yake 7
Picha: Fiston Kalala Mayele
Mtu kama huyu mbinafsi hafai , Nashauri apigwe chini kwenye game ya marudiano angalau kwa dk 45 za mwanzo ,nimewapeni yanga game plan , Kazi ni kwenu .
Amssajiliwa kwa kazi gani? Je majukumu hake anatimiza kwa kiwango gani? OverMayele anawaza yeye afunge Hilo jambo hata kocha wake kaongea sema kwa yanga yeye ndio tegemeo kubwa la ufungaji. Ila hiyo tabia wanayo wafungaji wengi tuliona kwa Thierry Henry, Christian Ronaldo