Mayele anawaza kiatu cha dhahabu badala ya ushindi wa Yanga

Mayele anawaza kiatu cha dhahabu badala ya ushindi wa Yanga

Yanga mechi ya pili ni rahisi kwao kuliko ya Taifa, hawatakuwa na pressure. Na hii imejionesha mechi zote anacheza away, anacheza vizuri na kupata matokeo tofauti na ilivyotarijiwa, kumbuka mechi na Al Hilal, Monastir, Marumo, Rivers.

Yanga watafanya vizuri

Hata Simba tu walichofanya dhidi ya Wydad ni dhahiri Yanga wenye ubora zaidi wanaweza.
Wee subiri mvua ya mabao kutoka kwa waarabu bas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2641049
Picha: Fiston Kalala Mayele
Hata goli la pili alilofungwa Yanga Juzi, lilitokana na Mayele kushangilia kupita kiasi goli lake la kusawazisha , hii ni kwa vile aliamini aliongoza ufungaji kwa mabao yake 7

Mtu kama huyu mbinafsi hafai , Nashauri apigwe chini kwenye game ya marudiano angalau kwa dk 45 za mwanzo ,nimewapeni yanga game plan , Kazi ni kwenu .
Zjngatia hakutetema kwa sababu timu bado ilikuwa inadaiwa magor

Ila hata akiwaza kiatu ndo vizur inabid afunge magor mengi ndo tim tunahitaji ushindi

Ulitaka akuwaze wewe na dada zako?
 
Acha wivu dogo.Ushindi wa Yanga ni magoli,kupata kiatu cha dhahabu ni magoli so kupata kiatu cha dhahabu ni ushindi kwa Yanga pia
 
Mayele anawaza yeye afunge Hilo jambo hata kocha wake kaongea sema kwa yanga yeye ndio tegemeo kubwa la ufungaji. Ila hiyo tabia wanayo wafungaji wengi tuliona kwa Thierry Henry, Christian Ronaldo
Amssajiliwa kwa kazi gani? Je majukumu hake anatimiza kwa kiwango gani? Over
 
Back
Top Bottom