Mayele anaweza kuwa kama Haaland akirekebisha vitu vidogo tu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kama unaangalia mpira vizuri hawa wawili uchezaji wao hauna tofauti sana, ila Haaland anamzidi Mayele finishing tu.

Mayele tayari anajua kujiweka kama Haaland, ila ana matatizo ya umaliziaji tu! Anapata nafasi nyingi ila kumaliza ndiyo shida.

Na ajifunze kupiga "Outbox" mara nyingi, Mayele akipiga shuti nje ya chumba zinapaa juu kwanza! Nilishangaa sana kuona amefunga Simba goli la "Outbox".
 
Timu ya Taifa lake haimfaham,hajawahi kuchukua tuzo yeyote, magoli yake Ni ya kubahatisha bahatisha tu!! Totolee takataka yako hum!!
Sema mwaka Jana ubora wa lig ulishuka tu,msingechukua hata ubingwa
 
Timu ya Taifa lake haimfaham,hajawahi kuchukua tuzo yeyote, magoli yake Ni ya kubahatisha bahatisha tu!! Totolee takataka yako hum!!
Sema mwaka Jana ubora wa lig ulishuka tu,msingechukua hata ubingwa
Na mwaka huu kawafunga 2 na kuchukuwa kombe na hili nalo una semaje

Kwanini kukubali kwenu ni kugumu mashabiki wa simba mwenye uwezo ni mwenye uwezo tu eti ubora wa league ulishuka kwa hiyo ile miaka mi 4 ambayo mlikuwa mnachukuwa ubingwa ndo kulikuwa ushindani?
 
Asa mayele anaubora gani ambao ni spesho? Bora hata ungenambia msimu wake wa kwanza tu alotupia goli 20+
 
Mi Yanga ila mh Holaand hapana. Ile mashine isiotegemea oil.
Haaland hana tofauti kubwa na mayele

Anacho mzidi mayele ni finishing tu lakini wote uchezaji wao ni mmoja mayele ana speed haaland ana speed
Mayele anajua kuji position
Haaland anajua kuji position
Haaland anajua ku finish
Mayele hajui kufinish
Hiyo tofauti tu lakini mengine wanafanana tu
 
Timu ya Taifa lake haimfaham,hajawahi kuchukua tuzo yeyote, magoli yake Ni ya kubahatisha bahatisha tu!! Totolee takataka yako hum!!
Sema mwaka Jana ubora wa lig ulishuka tu,msingechukua hata ubingwa
Hizi dharau zenu ndizo zinazompa jeuri ya kuwalaza na viatu kila mnapokutana naye.
 
The Boss akija kusoma uzi huu atafadhaika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…